Thursday, March 3, 2011

ETO'O AKIOMBA MSAMAAHA KWA TRAFIKI WA MJI WA MILANO!

Mchezaji wa timu ya Inter Milan, Samwel Eto'o.....akiomba msamaha kwa Trafiki wa mji wa Milano, ambapo anaishi Eto'o na kuchezea timu ya mji huo. Sasa nimekutana na habari hii ikisema; alitakiwa alipe Euro 60 tu za faini, lakini akaanza kubembeleza ili asilipe hiyo faini ya euro 60. Sasa euro 60 kwa Eto'o ni nini? Mtu anapokea mshahara wa milioni 10 za euro kwa mwaka, ni kitu cha kuchekesha sana, ni sawa na senti moja kwake. Eto'o Eto'o Eto'o......mbona unanitia aibu sana ndungu yangu weeee???? Sasa habari zinaenea kote kwa euro 60 tu?
Kazi kweli kweli.....!!!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI