Saturday, March 5, 2011

UTAMU WA HINDI ULICHOME MWENYEWE!

Pichani ni Kijijini Ikokoto - Iringa. Nilisimama mahali hapo kupata hindi la kuchoma, baada ya kumaliza milima ya Kitonga, jiani kurudi Iringa. Nimefika usiku huu.

-Maggid Mjengwa.

No comments:

WATEMBELEAJI