Thursday, March 24, 2011

UTHIBITISHO / UAMBATANISHO WA TIBA YA BABU - LOLIONDO!

MTU MMOJA ANASEMA HIVI;

Nina furaha kuwajulisha wadau wenzangu kuwa ule mti (Mugariga) Babu anaotaja kutumia katika tiba yake akiambatanisha na maombi, ulishafanyiwa utafiti huko Kenya miaka ya nyuma, kwa kula hauitwi jina hilo, ila sifa zake na uoto wake na matumizi unaonyesha ukaribu sana huu mugariga.

No comments:

WATEMBELEAJI