WE WAZIRI NGELEJA UNALALA MBELE YA RAIS WAKO KWELI?
Waziri wa Nishati na Madini, Mh.Ngeleja....kasinzia akiwa karibu ba Rais wake, Rais Jakaya Kikwete, katika mkutano huko nchini Ufaransa, jana.Unasinzia mbele ya Rais wako kweli??? Kweli usingizi hauna adabu!!! We Ngeleja...hebu amka bwana, ala!
No comments:
Post a Comment