Friday, March 4, 2011

KICHEKESHO CHA LEO!

Mwalimu mmoja wa shule fulani alikuwa akifundisha darasani, akawauliza swali wanafunzi wake; MTU MWENYE TABIA YA KUSEMA SANA, HATA KAMA WATU WAMECHOKA KUMSIKILIZA, anaitwaje?

Mwanafunzi mmoja akamjibu; anaitwa ''MWALIMU''.
Mwalimu alibaki hoi.

No comments:

WATEMBELEAJI