HII ILIKUWA KATIKA SIKU YA: 01/04/2011.
ETI BABU KALETA KASHESHE KWELI....!!!!! Babu Ambi wa Loliondo, aliwaambia wagonjwa wake; wale wenye Ukimwi wapange mstari wao na wale wenye Kisukari pia mstari wao. Watu wote wakajaa kwenye mstari wa kisukari, kama kawaida yetu kuyaonea aibu magonjwa tuliyonayo. Babu kuona wote ni wagonjwa wa Kisukari akasema; ''Goja hii dawa ya Ukimwi niimwagee'' watu wakapiga kelele.....aaaah Babu usiimwage, tumejichanganya tu....Babu usiimwageeeee.....!!!!!!
No comments:
Post a Comment