Monday, November 7, 2011

NAPENDA SANA VITUMBUA MPAKA BASI..........

.......Hapa nilipo udenda tu unanitoka, ninavyo vikumbuka vitumbua na kupata hamu ya kuvila mpaka basi. Nikiwa Bongo ndo chakula changu cha kila siku...tena huyu mama wa Miyuji - Dodoma ni hodari sana kwa kupika vitumbua, Mama Mafulu huyu aka Mama lishe.





























Hebu ngoja nionje kidogo jamani!.











Nikiwa na rafiki Matteo, kutoka Cesena - Italy. Yeye mwenyewe alivikubali vitumbua. Mpaka akaomba afundishwe jinsi ya kuvipika.













No comments:

WATEMBELEAJI