Monday, November 7, 2011

MAFURIKO NCHINI ITALY YALETA MAAFA MAKUBWA SANA.

Mvua ambazo zinaendelea kunyesha kwa kasi kubwa sana nchini Italy....simeleta maafa makubwa sana katika makazi ya watu. Hapa ni mji wa Genova, ambapo watu 6 wakiwemo watoto 2 wamefariki dunia kwa mafuriko haya. Pia mafuriko katika miji mbalimbali nchini hapa yameleta hasara kubwa sana ya makazi ya watuna magari mengi kuharibiwa sana na vitu vingi vya thamani kupotea.

No comments:

WATEMBELEAJI