Wednesday, January 25, 2012
BARABARA YA KATI KUTOKA ITALY KWENDA AUSTRIA.
Mara nyingi nipatapo nafasi huwa naenda nchini Austria, kwa gari.... kuwasalimu rafiki zangu, Familia ya aliyekuwa Boss wangu Tanzania, walikaa zaidi ya miaka 20 Tanzania.
Huwa napenda sana kupita barabara hii ya kati, ina milima, pori na pia kuna mto mkubwa. Barabara hii ni ndogo sana ila ina magari mengi sana....kwasababu hulipii, maana ile nzuri na unayoweza kwenda haraka unalipa tena ni pesa nyingi....kwahiyo kubana matumizi huwa natumia barabara hii, nachukua muda sana kutokana na msongamano uliopo wa magari lakini nafika tu! Mimi napenda sana Milima na Mapori hivyo nipitapo maeneo haya basi nafurahi sana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment