CHEKI HAPA...MAWAZO NA HISIA TOFAUTI NA JAMBO LENYEWE!
Hivi kwanini sisi Wanadamu huwa mara nyingi tunakimbiza sana Hisia na Mawazo yetu tofauti kabisa na mambo jinsi yalivyo? ukiona tu unaanza kuhisi au kujishuku pasipo sababu?Kwanini hatuwezi mara nyingi kujiamini kabisa?
1 comment:
Labda kwa sababu ni binadamu...
Post a Comment