Maana watu wengi wameniomba nifafanue vizuri kuhusu habari hii ya hawa Jamaa wa Chama cha Lega, wanaosema; warudishiwe hela zao zilizopo Tanzania.
Kuna Kiongozi katika Chama hiki cha Lega alitoa hela kwa Tanzania yetu, sasa sijui kama msaada au ni deni lije lirudishwe hapo baadae.. mimi sijui, na picha hii inasema Dodoma e Camorra! Camorra ni kundi baya sana la unyanyasaji, dhuluma na mauaji, sasa hizo pesa sijui zimeishia Dodoma au?...aliyepokea hela hizo ndiye anayejua kwaajili ya nini. Ila kwenye hiyo Video niliyoiweka mwanzo, hawa jamaa wanasema; Warudishiwe hela zao zilizopo Tanzania.....mimi kilichonikera sana, kwanini watumie Bendera yetu? kwenye maandamano yao hayo?
Kwakweli Wadau mimi zaidi ya haya sina maelezo zaidi....ila jamaa wanadai mshiko wao warudishiwe....haya sasa sijui watarudishiwa, hapo mimi sipo!
No comments:
Post a Comment