Kwa kweli anastahili zawadi ...swali la kizushi je anaishi TZ huyo dada?
Hahahhahaha kakake hii nimeipenda haswa!!Mzungu kajichanganya vyema kabisa,Yaani anavyojua kucheza ka Mngoni vile!!!!!kaka ficha hapo kwenye kabila tafadhaliiiiii.
Ha ha haaaa.....!!!! Dada umenichekesha sana, eti nifiche hayo ya kabila. Haya ngoja wenyewe wakusikie.Dada Yasinta, huyu haishi Tanzania ni wale wanaoenda kujitolea kwa muda na kurudi makwao.
Post a Comment
3 comments:
Kwa kweli anastahili zawadi ...swali la kizushi je anaishi TZ huyo dada?
Hahahhahaha kakake hii nimeipenda haswa!!Mzungu kajichanganya vyema kabisa,Yaani anavyojua kucheza ka Mngoni vile!!!!!kaka ficha hapo kwenye kabila tafadhaliiiiii.
Ha ha haaaa.....!!!! Dada umenichekesha sana, eti nifiche hayo ya kabila. Haya ngoja wenyewe wakusikie.
Dada Yasinta, huyu haishi Tanzania ni wale wanaoenda kujitolea kwa muda na kurudi makwao.
Post a Comment