Friday, January 20, 2012

VIJANA WA ZANZIBAR.....WAKIJIFUA!

Vijana wa Bububu, chini ya miaka 17 wakifanya mazoezi ya viungo kuweka sawa miili yao kabla ya kuanza mpambano wa soka, kwenye Uwanja wa Jazira nje kidogo ya Mji wa Zanzibar, jana.

- Picha na Martin Kabemba.

No comments:

WATEMBELEAJI