Saturday, February 18, 2012

KASHFA YA MKOPO YAPELEKEA RAIS WA UJERUMANI AJIUZULU.

Rais wa Ujerumani, Bwana Wulff, ametanagaza kujiuzulu kwake baada ya waendesha mashtaka kutaka aondolewe kinga ya kushtakiwa.
Bwana Wulff...ambaye ni mshiriki wa Chansela Angela Merkel, anakubwa na kashfa huhusu mkopo wa kununua nyumba aliopokea wakati akiwa Waziri Mkuu wa ufalme mdogo nchini humo.
Bi.Merkel, alifutilia mbali ziara yake nchini Italia mnamo Ijumaa, ili kuweza kukabiliana na kashfa hiyo, kusuluhisha kashafa na kuelezea kuwa anajuta kujiuzulu kwa Bwana Wulff.

Vyombo vya habari nchini Ujerumani vimeeleza kuwa kashfa hiyo ndio ya kwanza ya aina yake tangu enzi ya vita nchini humo.
Bi.Merkel....alipambana vilivyo kuhakikisha kuwa Bwana Wulff, anaunga mkono Chama chake cha Christian Democrat (CDU) kama Rais wadhifa alioushikiria kwa chini ya miaka miwili.

No comments:

WATEMBELEAJI