Saturday, February 18, 2012

KUMEKUCHA UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM HIVI SASA!

Mashabiki wa Timu ya Yanga ya Dar es salaam, wakiingia kwa maandamano nje ya Uwanja wa Taifa hivi sasa.


Mashabiki wa Timu ya Yanga ya Dar es salaam.....wakiwa full mzuka hivi.

- Picha na Michuzi Jr.

No comments:

WATEMBELEAJI