Monday, March 5, 2012

DAWA YA KUJIKINGA NA KICHOCHO!

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Ngwachani iliyopo Zanzibar, Seremani Sareh....akinywa dawa ya kichocho kuashiria uzinduzi wa kampeni ya kupambana na ugonjwa huo Visiwani humo. Wanaoshuhudia ni Naibu Waziri wa Afya, Mh.Sira Mwamboga (mwenye kilemba) na Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya dawa ya Kijerumani iitwayo (Merck) Dk.Karl Ludwig Kley (kulia).

No comments:

WATEMBELEAJI