Friday, March 16, 2012

HUKU NI KARIBU NA KWETU NDANI YA MKOA WA KWETU!

Hali ya usafiri kwenda katika Kijiji cha Mwarazi, Tarafa ya Mkuyuni, Wilaya ya Morogoro. Cheki kwa mbele na cheki kwa nyuma yaani mzigo kinoma.
- Picha na Mkuu wa Lukwangule (Beda).

No comments:

WATEMBELEAJI