Monday, March 5, 2012

NAIBU WAZIRI WA NISHATI AZUIWA MSAFARA WAKE-SUMBAWANGA!

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mh.Adamu Malima...akimsikiliza kwa makini kijana Ruta Aloyce, aliyeshiriki kuzuia kwa muda msafara wa Naibu Waziri huyo, katika Kijiji cha Muze jana akiwa njiani kwenda Kijijini Musiya katika Bonde la Ziwa Rukwa, hata hivyo alikuwa tayari kusikiliza kero zao ikiwemo kero kubwa ya maji inayokikabili Kijiji cha Muze kilichopo katika Bonde hilo, Wilayani Sumbawanga Vijijini.

- Picha na Peti Siyame.

No comments:

WATEMBELEAJI