Monday, March 5, 2012

RAIS JK...ATUA MKOANI KILIMANJARO KWA ZIARA YA KIKAZI.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete, wamepokelewa kwa furaha walipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) jana jioni, tayari kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais Jk...akipokelewa kwa furaha na Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kilimanjaro, kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Mh.Leonidas Gama.

Rais Jk...akipokea taarifa ya Mkoa toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mh.Leonidas Gama, mara baada ya kuwasili Ikulu ndogo Mjini Moshi jana jioni.

- Picha na IKULU.

No comments:

WATEMBELEAJI