ENZI HIYO VIONGOZI WETU WALIYASEMA HAYA;
1). Mtakula nyasi......lakini ndege ya Rais lazima inunuliwe..... (Mh.MRAMBA).
2). Foleni Dar ni ishara ya maisha bora.........(MZEE MZIMA JK).
3). Acheni wivu wa Kike...........(Mh.MSEKWA).
4). Asiyeweza nauli mpya ya kwenda Kigamboni.....apige mbizi......(Mh.MAGUFULI).
5). Baada ya kutumia Helikopta ya Jeshi kwenda kwetu Urambo.....mlitaka nipande Punda?.....(Mh.KAPUYA).
6). Wabunge wa Dar wanafikiri kwa kutumia makalio.......(Mh.Masaburi).
7). Mnaniuliza mvua kwani mimi Waziri wa mvua?..........(Mh.WASIRA).
8). Ngeleja kila siku ananinunulia chai, wakati nina uwezo.....(Mh.ANNE KILANGO).
9). Posho za Wabunge lazima zipande, kwasababu maisha Dodoma yapo juu......(SPIKA MAKINDA).
10). Wakati huu ambapo nchi inakabiliwa na janga la njaa, nawashauri wakulima wahifadhi hata pumba, maana zinaweza kusaidia...........(Mh.MALECELA).
11). Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe......(Mh.CLEOPA MSUYA).
12). Wapinzani wanapenda mambo ya ovyo ovyo wanafiki hawa.....wataendelea kuwa wapinzani tu! .........(Mh.SAMWEL SITTA).
No comments:
Post a Comment