Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Mh.William Lukuvi....akizungumza na Mbunge wa Ubungo, Mh.John Mnyika, katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma jana. Mh.Mnyika amerejea kuhudhuria vikao vya Bunge baada ya juzi kutimliwa Bungeni na Naibu Spika wa Bunge, Mh.Jobu Ndugai.
- Picha na Edwin Mjwahuzi.
No comments:
Post a Comment