Tuesday, December 1, 2015

MBUNGE WA DODOMA MH.ANTONY MAVUNDE....NA ZIARA KATIKA JIMBO LAKE, KATIKA VIJIJI VYA KIKOMBO MNADANI NA CHOLOLO.

 Mbunge Kijana Mh.Antony Mavunde, wa Jimbo la Dodoma mjini....mwenye kofia ya Cowboy, aliyeshika kiuno, katika kukagua mradi wa maji.






Mbunge wa Dodoma mjini, Mh.Mavunde, akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maji katika vijiji vya Kikombo Mnadani na Chololo ambavyo vijiji hivi vinapata maji kupitia mradi unaofadhiliwa na umoja wa Ulaya (EU).
Pia amepata fursa ya kutembelea eneo ambalo patajengwa kiwanda cha ngozi ambacho kitaongeza kasi ya ukuaji uchumi katika kijiji cha Chololo na ongezeko la nafasi za ajira.

No comments:

WATEMBELEAJI