Tuesday, December 1, 2015

PROF.LIPUMBA....ALIVYOMTEMBELEA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI.



Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof.Ibrahim Lipumba, amtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt.John Pombe Magufuli na kumpongeza kwa hotuba nzuri iliyoweka mwelekeo mpya wa Serikali ya awamu ya tano.
Pia Prof.Lipumba amesifu na kuunga mkono juhudi za Mh.Rais katika kupambana na wakwepa kodi na wahujumu uchumi.

No comments:

WATEMBELEAJI