Thursday, July 28, 2016

DARAJA BABU KUBWA DINIANI FUTI 100 CHINI YA MAJI HUKO NCHINI NORWAY.






Nimekutana na hii habari, daraja ambalo sitapenda upitwe na habari hii mdau wangu wa KAZI YAKO NI JINA LAKO. Unaweza ukawa umeona madaraja mengi duniani, ila hili likakushangaza zaidi. Daraja hili litajengwa chini ya maji nchini Norway kwenye kivuko kati ya Kristiansand na Trondheim, ndani ya masaa 21 kwa gari kupita daraja hilo.
Daraja hili limetajwa kujengwa ndani ya miaka saba hadi nane ingawa bado wanafanya tafiti za kigeografia na pia daraja hili litajengwa kati ya futi 65 mpaka 100.
Mradi huu utakua wakwanza duniani kujengwa ni daraja hili nchini Norway.

No comments:

WATEMBELEAJI