Thursday, July 28, 2016

PAPA FRANCIS...AANGUKA GHAFLA NCHINI POLAND WAKATI AKISOMA MISA.


Papa Francis aanguka ghafla kwa kujisikia vibaya wakati akiendelea na misa takatifu nchini Poland.

Tumwombee sana Mungu ampe nguvu na afya njema mtumushi huyu wa Mungu.....na shetani ashindwe kabisa!

No comments:

WATEMBELEAJI