HISTORIA YA LEO.....BAO LA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE KIJIJINI MWITONGO, BUTIAMA, MARA - TANZANIA.
Bao hili ni zawadi aliyotoa Rais Samora Machel kwa Mwalimu Nyerere kwa kutimiza miaka 60 ya kuzalia kwake Baba wa Taifa.
Nakusihi sana utembelee Butiama ujifunze zaidi juu ya historia ya Baba wa Taifa letu Mwalimu Nyerere.
No comments:
Post a Comment