Rais Magufuli amjilia hali Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Job Ndugai, pamoja na Waziri Mkuu mstaafu Mh.John Samwel Malecela, leo Jijini Dar es salaam.
Rais Dkt.John Magufuli, akimpa pole Waziri Mkuu mstaafu Mh.John Samwel Malecela.
Mke wa Rais Magufuli, mama Janeth Magufuli, akiwa pamoja na Rais Dkt.John Pombe Magufuli...akiongoza sala ya kumwombea Waziri Mkuu mstaafu Mh.John Samwel Malecela, pamoja na mkewe mama Anne Kilango Malecela.



No comments:
Post a Comment