Wednesday, February 22, 2017

KWAHERI MAMA YETU MKUBWA, MAMA VICTORIA.....KUFO CHAKO KIMEKUWA CHA GHAFLA MNO, HATUKUTEGEMEA KABISAA..MAANA JANA UMESHINDA SALAMA KABISA, USIKU TU NDIPO MAPIGO YAKO YA MOYO YALIPO SIMAMA. NI UCHUNGU SANA SANAA LAKINI TUNAKUBALIANA NA MAPENZI YA MUNGU. AKULALE MAHALI PEMA PEPONI MAMA YETU MKUBWA VICTORIA....AMINA!

No comments:

WATEMBELEAJI