Tuesday, February 21, 2017

SIKU HII SITA ISAHAU KAMWE.....SIKU AMBAYO TULICHIMBA KISIMA SHAMBANI KWANGU NKULABI, MPUNGUZI - DODOMA. TANZANIA. ASANTE SANA RAFIKI KUTOKA ITALY RAFIKI MPENDWA MARCO DI MANNO, KWA KUWEZESHA ZOEZI HILI KUFANIKIWA HATIMAE KUPATA MAJI SHAMBANI NKULABI.










No comments:

WATEMBELEAJI