Sunday, December 20, 2009

MAMBO MSWANO DUU...TUNAAMIA NDEGE KAMA KAWAIDA.

Mambo ni mazuri tuu yanakwenda kama kawaida!! Mkazi na mkulima na mrembo wa Kijiji cha Mkula, Wilaya ya Kilombero, akiwa shambani kwake kuamia ndege waharibifu wa zao la mpunga kwenye bonde la kilimo Mkula, Mkoani Morogoro.
-Beda Msimbe.

No comments:

WATEMBELEAJI