Friday, December 18, 2009

MOHAMMED TRANS ILIYOUA WATU 19 SAME HII HAPA:


Katika ajali hiyo ndugu sita waliokuwa wanakwenda kwenye hausi walikufa papo hapo. Ndugu hao ni wa Familia ya akina Maleko, na harusi imeahirishwa.
-Yaani haya mabasi sijui yatandelea kuua mpaka lini, kama serikali haiweki mkazo wa kweli ni balaa!! Mbona nchi za wenzetu hazitokei mara kwa mara ajali kama hizi? Kwani wenyewe hawana mabasi au?
MUNGU AZILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO ZA MAREHEMU HAWA 19, AMIN!

No comments:

WATEMBELEAJI