Saturday, December 19, 2009

UKAME BAADA YA HAPO MAFURIKO!











Sijui ni kwanini kwa Afrika yetu, inatokea ukame kweli baada ya hapo mafuriko yanayoleta madhara makubwa hasa uharibifu wa makazi na barabara, kama tuonavyo hapa kwenye picha, huko nchini Kenya kwa jilani zetu.




No comments:

WATEMBELEAJI