Friday, May 7, 2010

MBUNGE WA SINGIDA MH.MOHAMMED DEWJI NA WANANCHI WAKE!

















Mbunge wa Singida Mh.Dewji akifurahi na wananchi wake, Jimboni kwake Singida.




1 comment:

mangi said...

Kweli kazi yako ni jina lako.Hongera sana mheshimiwa MO kwa kuonyesha fadhili-upendo kwa wananchi wa jimbo lako.Wakati hayo yakiendelea namsihi mheshimiwa MO afanye yote awezayo ili uwanja huo wa ndege uboreshwe na kuingia kwenye orodha ya kimataifa kwa manufaa ya kiuchumi ya wananchi wa Singida na Tanzania kwa ujumla.
"CONGRATULATIONS MR MO,PLS KEEP IT UP".Pamoja we can;thank you sana!!!

WATEMBELEAJI