Nawatakieni maisha mema sana akina mama wote Duniani, bila nyinyi sisi tusingelikuwepo. Salamu za pekee kwa mama yangu mzazi, asante sana kwa kunizaa na kunitunza mpaka nimefikia hapa nilipo leo. Wewe ni mwanamke mhimu sana kwangu hapa duniani, hongera sana Mama!
-To all Mothers here at Bk and around the World. I just want to Wish you all a Happy Wonderful Mother's Day!
2 comments:
Ujumbe mzuri kweli hakuna kama mama kwa kweli. pia Napenda kusema hongera nanyi wana baba pia kwani uwepo wenu ni furaha kwetu.
Kabisa! Hujakosea.
Post a Comment