Wednesday, June 23, 2010

SEMINA YA MADAKTARI BINGWA DUNIANI YAFUNGULIWA DAR.

Mama Salma Kikwete akiwasili, kwaajili ya kufungua semina.
Mama Salma Kikwete, akihutubia baada ya kufungua semina.




Mke wa Rais wa Tanzania, Mama Salma Kikwete amefungua semina ya madaktari Bingwa wa majonjwa ya wanawake na uzazi Duniani (Figo) kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Jijini Dare es salaam.
Semina hiyo imeandaliwa kwa ushirikiano wa chama cha madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake Duniani na hapa nchini (AGOTA) kwa lengo la kupeana ujuzi na kubadilishana mbinu mbalimbali katika kukabiliana na magonjwa mbalimbali wanayo yapata wanawake wakati wa kujifungua.



WATEMBELEAJI