Monday, July 26, 2010

NIPO TUU....ILA MAMBO NI MENGI SANA KWASASA!

Jamani mambo ni mengi sana yamenizidi na safari za hapa na pale huku ndani ya Tz - Bongo. Sijapotea kabisa nipo tu kama kawaida...ila hali halisi ndio hii ya ubize kila kukicha. Kwasasa nipo hapa Jijini Arusha...baadae Dar es salaam....na baadae tena Makao makuu ya chama na Serikali ndani ya Dom.

Ninawasalimu sana na tupo pamoja Daima!

2 comments:

mangi said...

Ukimyaaaaaaaaaaaaa umezidi kaka!!

ray njau said...

Ukimyaa unaendelea mpaka lini kaka Baraka?

WATEMBELEAJI