Wednesday, October 27, 2010

KICHWA CHA TRENI YA KUBEBEA WATALII - TANZANIA.

Kichwa cha Treni/Injini ya Treni inayo milikiwa na shirika la TAZARA. Hii ilikuwa ni Treni maalum ya TAZARA iliyokuwa inapeleka Watalii katika Mbuga ya Selous kupitia reli ya TAZARA.
Sehemu ya Suka hapa.




Dereva (Suka) wa Treni akiwa anapangua mabehewa katika stesheni ya Kisaki. Ili kuiweka Treni hiyo katika mkao mahususi wa kurudi Dar es salaam baada ya kukatisha Mbuga ya Selous.



No comments:

WATEMBELEAJI