Mheshimiwa Anne Makinda ndiye Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Baada ya umshinda mh.mgombea Mabere Nyaucho Marandu, katika uchaguzi huo wa kumtafuta Spika mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Nami nasema; Hongera sana Mama Anne Makinda.
By. Michuzi.
No comments:
Post a Comment