Saturday, November 13, 2010

FOTOBARAZA INATUTAKIA WEKEEND NJEMA NA WIMBO HUU;

Babukadja mkuu wa Fotobaraza.me, anatutakia wekeend njema na katuchagulia wimbo huu wa Grace Matata - ''FREE SOUL'', na ujumbe wake kama ifuatavyo;

Baada ya mbio za Juma zima, kumtumikia Boss kwa hali na mali, stress kibao, viporo vya hapa na pale, si vibaya tukamaliza wiki hii kwa kupoza mtima kidogo. Anayetupoza mtima Juma hili si mwingine bali ni Dada anayekuja juu kwa kasi sana katika Tasnia ya Muziki Tanzania; GRACE MATATA, anakwambia ''Free soul''.

Hakuna matata; Sina mali, sina deni...kwahiyo mimi sio maskini.

-Nami nawatakieni; Wekeend njema sana kwenu nyote!

No comments:

WATEMBELEAJI