Wednesday, November 17, 2010

HONGERA MH.PINDA KWA KUCHAGULIWA UWAZIRI MKUU TENA!


Mtoto wa Mkulima huyu, kama ajiitavyo mwenyewe, tupo pamoja nawe na tunafurahi kuwa Waziri wetu Mkuu tena; jitahidi zaidi na zaidi kutetea wanyonge, Hasa wakulima, kama ujiitavyo wewe mwenyewe mtoto wa mkulima.



Video ya Waziri Mkuu Pinda, akiongea Bungeni...katika awamu iliyopita ya 2009 - 2010. Mimi nimefurahi sana kwa kuchaguliwa tena kwa Mh.Pinda kuwa Waziri Mkuu. Hongera sana Mizengo Pinda!

No comments:

WATEMBELEAJI