Thursday, November 4, 2010

PETER SCHWINGSHACKL (MWALIMU) NA HUDUMA YA MAJI VIJIJINI!

Peter a.k.a Mwalimu, na familia yake;Mkewe Anna, mtoto wa kwanza Alexandra na Natasha wakati wakiwa Dodoma enzi hizo. Mkewe Anna pia nae alikuwa mchango mkubwa sana katika vijiji mbalimbali kwa kazi alizo zifanya, hasa za unesi. Tutawakumbuka daima!
Peter akiwa na mimi, katika sherehe ya kuwaaga wakati wakirudi kwao. Huko Miyuji - Dodoma.

Enzi hizo Peter akiwa na mtoto wake wa kwanza Alexandra, enzi hizo za utafutaji maji vijijini. Hapa wakiwa wanachoma nyama tayari kwa kula.


Wakati wa maakuli, huko vijijini katika kuchimba visima vya maji.




Baada ya kazi nzito sana, mapumziko kidogo na kubadilishana mawazo kidogo.



Wakati huo ukipata maji ni furaha sana, hasa kwa wana vijiji inakuwa kwao kama kupata alimasi. Maana shida ya maji si mchezo.












Na mimi wakati huo nikijaribu kuendesha mashine ya uchimbaji, lakini hakuna aliyekuwa akimshinda Peter kwa ujuzi aliokuwa nao katika kazi hii.








Furaha ya kupata maji.








Hapa ndipo unapoona umuhimu wa kazi hii, upatapo maji. Wakati mwingine unaenda hata mita 200 chini hukutani na maji, ni vumbi tu mpaka huzuni.








1 comment:

hello said...

Hello,Ana & Peter Happy New year hope all is well,as i am searching thanks god that i found you again after along time,are u still in Africa?do u still recall me ,Im Maria worked in Mitundu many years ago and niece of SR.Ma.Theresa.Im so thankful to u and Ana,im well now here in Philipines ,my son is already 13 yrs old.but i never get married again.Hows life there?hope we can chat my emailadd is msfoolishheart23@yahoo.com.Thank you so much and god bless to u and Family.

WATEMBELEAJI