Wednesday, November 3, 2010

WOTE WANAFURAHIA USHINDI WA VYAMA VYAO!


Kwenye Canter CCM, na waenda kwa miguu mwendo mchaka mchaka ni CHADEMA....Bongo - Tanzania Tambarare tu! Uchaguzi wa Amani ni furaha kweli kweli. Kila mtu anafurahia chama chake bila kumwaga damu...safi sana!

No comments:

WATEMBELEAJI