Friday, December 3, 2010

BARAFU NI BALAA KABISA....ANGALIA SASA HAPA;

Mimi huwa naogopa sana kuendesha wakati wa Barafu, lakini wakati mwingine hakuna jinsi inabidi tu! ila kama sina safari za lazima huwa sitoki kabisa na gari, maana balaa zake ni kubwa sana, ajali huongezeka. Siku moja nakumbuka nimefunga breki mpaka mwisho, lakini gari ilikuwa inaenda haisikii kitu. Usicheze na Barafu, ni balaa kwa gari!

No comments:

WATEMBELEAJI