Askofu mteule Muhashamu Gervas John Nyaisongo, akipongezwa na Rais JK baada ya kusimikwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo katoliki Dodoma. Hapo jana mjini Dodoma.
Rais JK, akitoa hotuba yake kwa viongozi wa dini wakati wa Ibada ya kumsimika Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Dodoma, Muhashamu Gervas John Nyaisonga, iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Mjini Dodoma. Jana.
Askofu mpya Muhashamu Gervas....akipewe daraja la uaskofu na Kardinali Pengo, hapo jana mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment