JUMAPILI YA 2 YA KWARESIMA!
Moyo wangu umekuambia, Bwana uso wako nitautafuta....usinifiche uso wako!
Ee Bwana, kumbuka rehema zako na fadhili zako maana zimekuwako tokea zamani. Adui zetu wasifurahi kwa kutushinda. Ee Mungu wa Israeli utukomboe katika taabu zetu zote!
No comments:
Post a Comment