Monday, October 17, 2011

UTANGAZAJI NA USHABIKI WA MPIRA....MPAKA BASI CHEKI HAPA!

1 comment:

Anonymous said...

CHibiriti nipo nje ya mada samahani, ila ningeomba siku uwaulize wa Bantu wenzangu kwanini sie Watanzania tunaiharibu maana ya "WASWAHILI" kwa kuiweka kwamba Neno Waswahili ni Umbeya,unafiki, na mabaya kibao mbona wenzetu wanajisifu na kuwa wa English,Wamanga,? leo mtu utasikia nyie Waswahili sana sio kwa nia nzuri Sema nyie Waswahili kwa nia nzuri au sio Waswahili tuwe tunapenda kusema sie Waswahili kwa nia nzuri tuanze kutupia mbali Neno Waswahili kwa ubaya.

WATEMBELEAJI