Sunday, November 13, 2011

JUMAPILI NJEMA SANA....KWENU NINYI NYOTE WADAU WANGU!





KUNA WIMBO HAPA NAMBA 7....KWAAJILI YA DADA YASINTA. UNAOIMBA; Sisi wana wa dunia tukumbuke maneno aliyosema Bikira Maria, alipowatokea watoto wa Fatina; Lucia, Francesco na Yasinta. Alisema tusali...tusali rozari na tuwaombee wale wakosefu wasio na mwombezi!

No comments:

WATEMBELEAJI