Sunday, November 13, 2011

MANENO MAZURI YA JUMAPILI HII YA 32 YA MWAKA!

Ee Mungu Mwenyezi Rahimu, utuepushe kwa wema wako na yote yawezayo kutudhuru, tuwe tayari rohoni na mwilini kutimiza mapenzi yako pasipo kizuio.

No comments:

WATEMBELEAJI