MARIO MONTI......WAZIRI MKUU MPYA WA ITALY.
Mh.Mario Monti, Waziri Mkuu mpya wa Italy.....baada ya Waziri Mkuu Berlusconi kutema ngazi kwa lazima. Berlusconi amelazimika kuachia ngazi baada ya kuyumbisha sana uchumi wa nchi, na kashfa kede kede zinazomkabili, nchi kwenda vibaya sana kiasi cha kufilisika kabisa, ilibaki kidogo sana.
No comments:
Post a Comment