Sunday, November 27, 2011

MANENO MAZURI YA JUMAPILI YA 1 YA MAJILIO!

Ee Bwana, nakuinulia nafsi yangu, ee Mungu wangu...nimekutumaini wewe nisiaibike, adui zangu wasifurahi kwa kunishinda. Naam, wakungojao hawata aibika hata mmoja.

Ee Mungu Mwenyezi, tunakuomba utujalie sisi watumishi wako neema hii....ya kwamba Kristu atakapokuja tumlaki na matendo mema, atuweke kuume kwake....tustahili kupata ufalme wa mbinguni.
Bwana atatoa kilicho chema.......na nchi yetu itatoa mazao yake!

No comments:

WATEMBELEAJI